Alfajiri ya leo katika finali za nba kikanda kulikuwa na mchezo mkali kati ya Roston celtic na cleverland cavaliers.
Mchezo huo ulikuwa kuwa toa hukumu kwa cavs maana celtic wangeshinda ingekuwa mwisho wa safari ya cavs.
Lakini juhudi za mkongwe rebron james zimeisadia cavs kulazimisha kucheza mchezo wa saba utakao amua nani aende fainali kuu kwa maana wote wameshinda michezo mitatu mitatu.
Rebron aliweza kuwaadhibu celtic vikapu 46. Alikuwa katika kiwango bora sana
Friday, May 25, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment