Wednesday, October 17, 2018

Arsene Wenger amesema kwamba atarejea kwenye soka mwezi Januari mwakani baada ya kupokea maombi ulimwenguni kote.

" Kwa miaka yangu 22 ndani ya Arsenal , nilipata uzoefu katika madaraja tofauti tofauti . Kuna maombi kutoka pande nyingi Duniani . Kuna mashirikisho , timu za Taifa, pia inaweza hata kuwa Japan."

"Naamini kwamba nitaanza tena Januari Mosi . Naamini nimeshapumzika na nipo tayari kufanya kazi tena. lakini wapi ? sijui bado."

0 comments:

Post a Comment