Ruhusa hiyo ilitolewa na mamlaka za serikali hiyo ilishuhudiwa wanawake wengi wakifika kuishangilia timu yao ya Taifa ya Iran dhidi ya Bolivia mchezo uliofanyika katika mji wa Tehran.
L
Iran inakuwa nchi nyingine ya Kiislamu baada ya hivi karibuni Serikali ya Saudi Arabia nayo kuruhusu wanawake kuingia kwenye viwanja vya michezo, sinema na kuendesha magari jambo lililopokelewa kwa furaha na mataifa mengine pamoja na wanaharakati wa haki za binadamu.
0 comments:
Post a Comment