Stand United imeshinda mechi 1 dhidi ya Yanga tangu ipande ligi kuu msimu wa 2014/15.
Yanga inashikilia rekodi nzuri ya ushindi dhidi ya Stand United imeshinda mechi 7 kati ya 8 walizokutana ligi kuu Tanzania bara.
12/03/18 Yanga 3-1 Stand United
22/10/17 Stand United 0-4 Yanga
05/02/17 Yanga 4-0 Stand United
25/09/16 Stand United 1-0 Yanga
03/05/16 Stand United 1-3 Yanga
09/12/15 Yanga 4-0 Stand United
21/04/15 Yanga 3-2 Stand United
25/10/14 Stand United 0-3 Yanga
Leo timu hizi zinakutana kwa mara ya 9 kwenye mechi za ligi kuu.
0 comments:
Post a Comment