Usiku wa jana zlatan alifanikiwa kufikisha idadi ya magoli 500 tangu aanze kucheza soka la kiushindani.
🇸🇪 Sweden (62)
🇸🇪 Malmö (18)
🇳🇱 Ajax (48)
🇮🇹 Juventus (26)
🇮🇹 Inter Milan (66)
🇪🇸 Barcelona (22)
🇮🇹 AC Milan (56)
🇫🇷 PSG (156)
🏴 Man Utd (29)
🇺🇸 LA Galaxy (17)
Kupitia ukurasa wake wa instagram zlatan amejipa jina la "God Of Goals" akimaanisha mungu wa magoli.
0 comments:
Post a Comment