Thursday, November 1, 2018


Baraza la michezo nchini BMT imeitaka klabu ya Yanga kufanya uchaguzi na uchaguzi huo usimamiwe na Tff kwakuwa kamati ya uchaguzi iliyonayo haijitoshelezi.

Pia Baraza limeamuru wanachama wote wenye kadi tofauti kwenda kwenye matawi yao kujisajili ndani ya wiki tatu kuanzia sasa.

BMT imeitaka TFF kuchagua tarehe ya uchaguzi na tarehe yenyewe itangazwe mwezi huu... Nafasi iliyowazi itakayojazwa Kwa uchaguzi nipamoja na nafasi ya uwenyekiti.

0 comments:

Post a Comment