Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Uganda "the Cranes" Sebastien Desabre ametangaza Kikosi cha Wachezaji 30 tayari Kwa kucheza mechi Mbili mwezi huu Dhidi ya Cape Verde na Nigeria.
.
- The Cranes wataivaa Cape Verde Katika Dimba la Mandela Novemba 17 Katika mechi ya kuwania kufuzu kucheza Fainali za AFCON 2019, Pia Uganda watacheza Mechi ya kirafiki Dhidi ya vijana wa kocha Gernot Rohr Timu ya Taifa ya Nigeria Ndani ya Dimba la Stephen Keshi Stadium, jijini Asaba Siku ya Novemba 20..
- Uganda ndio vinara wa kundi L kwenye mechi za kuwania kufuzu AFCON 2019 wakiwa wamebakiwa na mechi Mbili tu Dhidi ya hao Cape Verde nyumbani kisha watasafiri kuja Tanzania kucheza Dhidi ya timu ya Taifa ya Tanzania @taifastars_
- KIKOSI KAMILI CHA UGANDA
👉 MAKIPA: Denis Onyango (Mamelodi Sundowns), Jamal Salim (El Meriekh), Charles Lukwago (KCCA FC) and Nicholas Sebwato (Onduparaka FC).
.
👉 MABEKI: Isaac Isinde (Kirinya Jinja SS), Murushid Juuko (Simba SC), Timothy Awanyi (KCCA FC), Denis Iguma (Kazma FC), Nicholas Wadada (Azam FC), Godfrey Walusimbi (Kaizer Chiefs), Isaac Muleme (Haras El Hodood), Bernard Muwanga (KCCA FC), Yayo Kato Lutimba (Vipers SC), Joseph Ochaya (TP Mazembe), Hassan Wasswa (El Geish).
.
👉 VIUNGO: Khalid Aucho (Church Hill Brothers, India), Ibrahim Saddam Juma (KCCA FC), Tadeo Lwanga (Vipers SC), Allan Kateregga (Cape Town City), Farouk Miya (Gorica), Ambrose Kirya (Sc Villa), Moses Waisswa (Vipers SC), Milton Karisa (MC Oujda), Allan Kyambadde (KCCA FC).
👉 WASHAMBULIAJI: Dan Serunkuma (Vipers SC), Vianne Sekajugo (Onduparaka FC), Emma Okwi (Simba SC), Edrisa Lubega (SV Ried), Derrick Nsibambi (Smouha), Patrick Kaddu (KCCA FC).
0 comments:
Post a Comment