Klabu ya AC Milan imemweka katika orodha mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa Uingereza "Marcus Rashford” (21).
Rashfird anatarajiwa kununuliwa pundw tu dirisha la usajili litakapo funguliwa mwezi Januari mwakani, hii ni baada ya juhudi zao za kumnunua nyota wa Uswidi, Zlatan Ibrahimovic kugonga mwamba.
Pia Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa "Paul Pogba” (25), ameshangazwa na hatua ya meneja wake "Jose Mourinho", kumuweka nje ya kikosi cha kwanza cha klabu hiyo katika mechi mbili zilizopita.
0 comments:
Post a Comment