Friday, October 11, 2019

klabu ya barcelona imelimwa faini ya Euro 300 sawa nashilingi 753,465 kwa pesa za kitanzania kwa kosa la kumsajiri Antoine griezmann kutokea atletico madrid.

Barcelona walitenda kosa hilo kutokana na kuanzisha mazungumzo binafsi na mshambuliaji huyo bila kutoa taarifa kwa klabu yake huku akiwa bado na  mkhataba nao.

kwa mjibu wa kanuni za usajiri  klabu inatakiwa kuanza kufanya mazungumzo binafsi na mchezaji aliye bakiza miezi sita tu.

0 comments:

Post a Comment