Friday, December 22, 2017

Mpira umekwisha, vigogo Atletico Madrid wameangukia pua kwa bao pekee la Sergio Garcia dakika ya 88.

Espanyol ndio waliopeleka msiba kwa atletico madrid dakika za majeruhi kabisa zikiwa zime bakiwa dakika mbili.

Huu ni mchezo wa kwanza atletico madrid wana poteza msimuhu ndani ya ligi ya hispania (La liga)

0 comments:

Post a Comment