Friday, July 27, 2018

Kwa bongo habari inayo treand kimpira ni pamoja na usajili wa alikiba kutua coast union ya tanga na leo hii mwenyekiti wa klabu hiyo amezungumza kitu juu ya hilo.

Amesema ‘’Wapo watakamshabikia ali kiba kwenye muziki na kwenye mpira kwahiyo  hatujambana tumempa uhuru apange ratiba yake na mwalimu wa timu atakapoingia kwenye program zake kwasababu sisi tumesajili wachezaji 30 na wote hawatacheza watakuwa wanapokezana vijiti’’

Vipi kuhusu kulipwa? ,aliulizwa

Akajibu ‘’Msanii maarufu kama yeye sisi tunawezaje kumlipa? Yeye hana dau, amependa kucheza mpira kwetu tumemkaribisha, yeye hategemei mpira, anategemea maisha yake mengine’’ Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga, Steven Mnguto.

0 comments:

Post a Comment