Sunday, July 29, 2018

Chelsea wapo tayari kutoa kitita cha Pauni Milioni 30 kupata saini ya kiungo Aaron Ramsey kutoka Arsenal, kwa mujibu wa taarifa kutoka Mail on Sunday.

Kocha mpya wa Arsenal Unai Emery wiki chache zilizopita alisema kwamba anaamini kiungo huyo wa kimataifa wa Wales atabaki Emirates.

Endapo dili hili litafanikiwa bakayoko atakuwa katika wakati mgumu wa kuanza  kama kiungo mshambuliaji.

Bakayoko anaongoza kwa kura nyingi za kutopendwa hali inayo mfanya kutukanwa sana na mashabiki wa chelsea mitandaoni na kitaka auzwe.

0 comments:

Post a Comment