Klabu ya real madrid huenda ikamtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Luka jovic walie msajiri miezi miwili tu iliyopita kwa ada ya paundi €62m kutokea Frankfurt ya ujerumani.
Taarifa za awali zinadai kiwango anachokionesha bado hakija mkuna kocha wake Zidane. Ac milan wamepewa nafasi ya kumchukua kwa mkopo.
Thursday, August 22, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment