Tuesday, December 26, 2017

Mmiliki wa real madrid perez amekuwa aki hitaji huduma ya neymar kwa miaka mingi kadhaa sasa.

Kuna ripoti zinasema ronaldo amekuwa na matatizo klabuni hapo akihitaji mkhataba mpya ili alipwe zaidi ya lion messi.
Perez amemweka rehani ronaldo kumuuza na ataongeza €100m kwa ajiri ya staa wa kibrazili neymar

0 comments:

Post a Comment