Wednesday, January 2, 2019

Borrusia dortimund wameanza mikakati ya kusaka mbadala wa Pulsic aliye uzwa chelsea na ataondoka mwishoni mwa msimu huu.

Bodi ya usajili ya dortimund limemteua Thogan hazard wa borussia monchenglabach kana chaguo la kwanza.

Dortimund Wameanza kuilizia uwezekano wa kumpata Hazard  mwishoni mwa msimu huu.

0 comments:

Post a Comment