Friday, May 25, 2018

Taarifa zilitoka wiki hii kwamba Mohamed Salah ataendelea kufunga siku ya Jumamosi licha ya kuwa na jukumu la kucheza mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid.

Lakini ' physiotherapist' wa Liverpool Ruben Pons amesema kwamba atasitisha mfungo wake ili kuwa katika hali nzuri iwezekanavyo.

" Tulikuwa Marbella na mtu wetu wa Lishe alitengeneza mpango kazi . Ijumaa na siku ya mechi hatofunga, kwahiyo haitomuathiri."

0 comments:

Post a Comment