Thursday, May 17, 2018

Kama ulikuwa unadhani kauli ya Nandy kuwa amekuwa Inspired sana na Alikiba kwa umiliki wa bidhaa ya Mofaya Energy Drinks, ilikuwa ni mzaha, basi ona hii.

Msanii mkali wa Hits za Bongo kwa sasa nandy siku ya leo amezindua bidhaa zake za Sabuni na Mafuta ya NandyBeautyProduct, Dar Es Salaam.

Umiliki wa bidhaa hii ni zao la ubia au Partnership  kati ya Nandy as Brand na wamiliki wa bidhaa  za vipondozi vya asili nchini, maarufu kama "Grace product

0 comments:

Post a Comment