Ni miezi kadhaa imepita tangu mchungaji kakobe atikise vyombo vya habari kwa kuingia mkwaruzano na na serikali.
Siku jana ibuka inshu nyingine ya kwa hawa hawa viongizi wa kidini.
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amemtaja msanii ambaye anamkubali kati ya Alikiba na Diamond pamoja na kutoa sababu zake.
Akiongea na kipindi cha Maisha Mseto cha Times FM, Mzee huyo wa Upako amesema anampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu lakini alikiba anakiburi
“Mimi nampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, Simpendi Alikiba kwa sababu ana kiburi, nadhani kwa sababu amekaa Kariakoo,”
“Ukipigia simu Diamond anapokea kwa unyenyekevu ila Alikiba anapokea kwa maringo. Ndio maana Diamond amefika mbali.”
Najiuliza ni kwanini haya mambo wanayaibua pindi wanapopetea maskioni mwa watu.
Amri kuu ni. upendo kiongozi wa dini tena unajiita nabii unaibuka mbele ya hadhara na kuonesha chuki kuwa humpendi mtu flani.
Kanisa la leo lina kumbwa na nini visa mikasa ya ajabu haviishi.
0 comments:
Post a Comment