Wednesday, September 26, 2018

Real Madrid wanapoteza mechi kwa kufungwa magoli 3 kipindi cha kwanza kwa Mara ya kwanza tokea Novemba 2003 - Tena mechi hiyo ilikuwa dhidi ya Sevilla walipigwa 4-0.

Madrid sasa wamepoteza mechi nyingi za LaLiga ugenini wakicheza na Sevilla kuzidi timu zote zilizobakia ambazo kakutana nazo karne hii ya 21..kapoteza mechi 11.

Machin kocha wa Sevilla ni kocha pekee kushinda Mara mechi Mara mbili za LaLiga tokea kuanza kwa msimu uliopita...mechi mbili zote kashinda.
.
- Sevilla wameipiga  Madrid katika mechi nne mfululizo za Laliga wakiwa nyumbani kwa Mara ya kwanza tokea January 1958 Walishinda mechi tano mfululizo.

Benzema amecheza mechi nyingi za  LaLiga ugenini dhidi ya Sevilla bila ya kufunga goli - hakuna timu nyingine aliyombania kama Sevilla,  mechi 8 hajafunga, pia mashuti 15 yaliopita aliyopiga dhidi ya Sevilla hajafunga goli hata moja,  kati ya hayo 5 yalilenga lango ndani ya Ramon Sanchez Pizjuan.

0 comments:

Post a Comment