Sunday, October 7, 2018

Aliekuwa beki na captain wa Timu ya Chelsea na Aston Villa JOHN TERRY ametangaza Kustaafu Kucheza Soka Baada ya Kulitumikia Soka kwa Miaka 23.

Beki huyo wa Zamani wa timu ya Taifa ya Uingereza na Chelsea ambaye amecheza kwa mafanikio makubwa sana katika Team yake hasa ya Chelsea.

Alikiongoza kikosi cha Chelsea Kutwaa Ubingwa wa ligi kuu Mara 5 Akiwa Nahodha.

Lakini Pia aliiongoza Timu yake Kutoka jiji la London kutwaa kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya 2012 licha ya yeye kutocheza mechi ya fainali.

Na pia aliongoza kutwa kombe la ueropa league mara moja na kutwa kombe la FA mara 5.

JOHN TERRY ametangaza Uamuzi huo Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM.

0 comments:

Post a Comment