Thursday, November 1, 2018

Muigizaji maarufu nchini mwanadada wema sepetu amefikishwa mahama kuu ya kisutu tayari kwa kusikilizwa kesi yake inayo mkabili ya kusambaza video nyeti za ngono mtandaoni.

Wema sepetu alitenda kosa hilo wiki iliyopita akimtambulisha Future husband wake kupitia mtandao wa kijamii wa instagram.

Hata hivyo inasemekana penzi lao limeota mbawa na future husband wake amemtapeli ma milioni ya pesa na hajulikani alipo.


VIDEO

0 comments:

Post a Comment