Tuesday, December 4, 2018

Baada ya kocha wa liverpool kusha ngilia goli la dakika za majeruhi kwa kuingia uwanjani dhidi ya Everton.

FA, wamemlima faini ya paundi 8000 sawa na shilingi milioni 23 za kitanzania. Klopp amekili kosa hilo na yupo tayari kulipa faini hiyo bila kinyongo.

Liverpool ilipata goli dakika ya mwisho ya nyongeza 96' kupitia kwa mwana mpotevu Origi.

Goli hilo liliwapa furaha loverpool sana kwa sababu ilihitaji ushindi ili kupunguza gap la alama dhidi ya city na kubakia 2. Hivyo kujiweka katika nafasi nzuri ya kusaka ubingwa.

Sasa liverpool wanakuwa wababe wa everton kwa zaidi ya miaka 20 sasa.

Najiuliza ivi zahera naye atapigwa faini , maana naye goli la tambwe alishangilia kwa kuingia uwanjani.

0 comments:

Post a Comment