Thursday, October 24, 2019

Mshambuliaji wa SSC Napoli ya italia Dires Martens amefanikiwa kuwa mfungaji bora namba mbili wa mda wote kunako klabu hiyo kwa kumpita gwiji wa soka Diego Maradona.

Martens anahitaji afunge zaidi  goli sita tu ili awemfungaji bora wa mda wote ndani ya klabu ya Napoli.

⚽ Marek Hamsik  121

⚽  Dires Martens  116

⚽ Diego Maradona 115

0 comments:

Post a Comment