Chamberling amefanikiwa kufunga goli leo liverpool ilivyo kutana na swasea city na kuchangia kuigaragaza kwa mvua ya magoli ma tano bila.
Linakuwa goli la pili msimu huu. Ikumbukwe kuwa hajawahi fikisha magoli ma wili kwa msimu mmoja ligi kuu kwa takribani misimu saba iliyopitaa.
Huu unakuwa msimu mzuri kwake.
Huu unakuwa msimu mzuri kwake.
0 comments:
Post a Comment