Manchester United wanahitaji kitita cha paundi milioni 35 kumuuza Mkhitaryan kwa mkataba wa kudumu uhamisho wa Januari kwa mujibu wa Daily Mail .
Inaaminika kuwa Inter wanaongoza katika mbio za kuifukuzia sainia ya kiungo huyo ambaye Mourinho hamkubali tena, lakini pia inawezekana Mwarmenia huyo kurudi zake Borussia Dortmund.
Mkataba wa mkopo unatarajiwa kuwa uwezekano mkubwa lakini United wapo tayari kumuuza kama dau nono likitolewa.
0 comments:
Post a Comment