Friday, December 22, 2017

El Clasico sasa hivi sio tu mchezo unaowakutanisha mahasimu wa soka wa Spain - bali pia unawakutanisha wachezaji bora wa kizazi hiki: Lionel Messi vs Ronaldo. Mchuano wa wachezaji hawa wawili upo kwenye kila pande za maisha yao, binafsi na soka. .

Mchezo wa kesho utakuwa wa mwisho kwa wote wawili kwa mwaka 2017, japokuwa Ronaldo anaweza asicheze El Clasico kutokana na kutokuwa fiti. Hizi hapa ndio takwimu zao binafsi za uwanjani kwa mwaka 2017:

Cristiano Ronaldo in 2017:
.
🏃 Mechi 59
⚽️ Magoli 53
🅰  Assists 13
🏆 Makombe 5

Lionel Messi in 2017:

🏃 Mechi 63
⚽️ Magoli 53
🅰  Assists 15
🏆 Makombe 1

Real Madrid vs Barcelona. #ElClasico - wote wawili wanalingana kwa ufungaji wa magoli, nani atamaliza mwaka akiwa kafunga magoli mengi?

0 comments:

Post a Comment