Saturday, December 23, 2017

Messi amedhihirisha dunia leo kuwa yeye ndiye mchezaji bora duniani kwa kutakata soka safi lililo wa vutia mamilioni ya watu duniani.

Messi amefanikiea kufunga goli leo kwa mkwaju wa penati. Goli hilo limeacha rekodi zifuatazo.

Messi anakuwa mchezaji wa kwanza kuifunga madrid magoli mengi. Amefunga magoli 17.

Messi anakuwa mfugaji bora wa mda wote nganzi ya katika klabu moja kwa vilabu vyote barani ulaya. Amefunga magoli 526 barcelona.

0 comments:

Post a Comment