Tuesday, December 26, 2017

Mshambuliaji Harry Kane amejiwekea historia ya ufungaji leo walipokutana na Southampton

Harry kane amevunja record ya sheerer alifunga magoli 36 ndani ya mwaka mmoja kwa kufikisha idadi ya magoli 38 mpaka sasa.

Na kuvunja record ya messi ya kufunga magoli 54 kwa mashindano yote. Mpka sasa harry kane kafikisha magoli 56 kwa mashindo yotee.

Pia amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga hatrick nyingi ndani ya mwaka ana hattrick 6 epl.

Kwa michezo yote tayari kasha fikisha 8

0 comments:

Post a Comment