Manchester city ya mwaka huu haikamatiki kabisa. Ina ubora wa hali ya juu ikiwa chini ya kocha pep guardiola.
Imefanikiwa kuvunja historia ya kufunga magoli mengi kwa mda mfupi ilifunga magoli 30 ndani ya mechi 10 historia hiyo ilishikiliwa na evarton wao walifunga magoli 28.
Wamefanikiwa kushinda mechi nyingi mfululizo mechi 18 bila kupoteza. Awali rekodi hiyo ilishikiwa na asernal kwa kushinda mechi 14 mfululizo.
Mara baada ya jana manchester united ku toka sare na leister city sasa manchester city wameweka historia ya kuweka tofauti kubwa ya point kwa msimu wa krismasi takribani point 13 mbele ya man united.
0 comments:
Post a Comment