Sunday, December 24, 2017

Winga wa kibrazil anaye kipiga katika klabu ya liverpool philipe countinho anaendelea kuzua mjadala kwa wachambuzi wa soka nchini hispania.

Mchambuzi wa soka ngui balague ameimbai sky sport 

"liverpool hawataki kumuuza countinho katika dirisha la january"

Wanachotaka ni kumzungusha kwa kuhudaa watamuuza majira ya joto , lakini barcelona nao wanapoteza matumaini ya kumnasa kwa kuwa bado haja hakikishiwa kuuzwa.

0 comments:

Post a Comment