Kupitia mtandao wa instagram harmorapa amtolea mapovu mazito diamond platinum juu ya album ya "a boy from tandare"
"Kwenye Maandamano Mimi Sishauriki,kwanza Naogopa Sana Bunduki,amkumbuki Kwa Nape Nilitoka Nduki,#Mangekimambi njoo bongo ukae mbele nami sitotoka mikuku ππ
–
Bro #chibu nae kelele nyingi za album miez saba mwisho wa siku anatutolea Album mbovu kama sura yangu sokweπ‘π‘cha kukushaur simba kama mkataba wako wa karanga umeisha kaa dukani kwa Dada yako #Esma umsaidie kuuza vitenge ππ –
Dunia Kwa sasa inasubili ulbum yangu ya #uThigawePathi na ulubamu ya #kingkiba_for_lifeπππππππππππππͺπͺπͺπͺπͺπͺ
Friday, March 16, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment