Tuesday, January 9, 2018

Winga wa Bayern Frank Ribery bado ameonyesha hisia za maumivu za kukosa tuzo ya Ballon D'or ya mwaka 2013 iliyonyakuliwa na Cristiano Ronaldo.

Ribery anaamini kwamba alistahili kutwaa tuzo hiyo baada ya kuonyesha kiwango bora sana na kuisaidia Bayern kufanya vizuri sana kwa Ligi ya ndani na kutwaa Ubingwa wa UEFA pia.

" Ilikuwa kama vile nimeibiwa."  kauli ya Frank Ribery.

0 comments:

Post a Comment