Beki wakati wa Manchester united ameongeza mu ajertina Marcos rojo ameongeza mkhataba wa miaka mi tatu wa kuitumikia united mpaka 2021.
Rojo msimu huu umekuwa mgumu kwake kutoka na kukumbwa na majeraha ya Mara kwa mara. Hali hii imemfanya acheze mechi chache sana.
Home
»
»Unlabelled
» Marcos rojo aongeza mkhataba OT
Friday, March 16, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment