Beki wa kushoto wa Real Madrid Marcelo Viera alilazimika kutoka uwanjani kwenye mechi ya UEFA dhidi ya Viktoria Plzen baada ya kuumia kifundo cha mguu jana usiku.
Endapo Marcelo atakosekana basi kocha Julen Lopetegui itabidi achague kumtumia Nacho ambaye msimu huu katika nafasi hiyo ya beki wa kushoto alionesha kiwango cha chini pindi Marcelo alivyokosekana au kinda Reguilon ambaye hana uzoefu wa kucheza kikosi cha kwanza.
0 comments:
Post a Comment