Juma mahadhi ameamua kujiendeleza kiuchumi kwa kuanzisha biashara yake ya kuuza chilli.
Mahadhi aliingiza sokoni bidhaa yake ya chill mwezi march na inauzwa kwa bei ya shillingi elfu tano za kitanzania.
Mahadhi anakuwa mchezaji wa kwanza kutumia fursa ya kufahamika kimpira kwa kuanzisha biashara.
Niwachezaji wa chache wenye kuweza kufanya hivyo lakini wanapaswa kujua kunamaisha baada ya kustaafu soka.
Kupitia instagram page yake ameandika hivi "Nicely prepared chill yenye radha nzr isiyo isha hamu
Yenye kutia kasi msosi wako na kukufanya ujisikie raha wakati wakula bila kujali wala nini
Sasa ipo sokon kwa kwa shilling elfu 5000/= tu popote ulipo unaletewa"
Maana hata cristian ronaldo ana uza chupi uku messi yeye ana bidhaa yake ya kinywaji. Wanatambua fursa na kuna maisha baada ya soka
0 comments:
Post a Comment