Kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino anahitaji fedha zaidi za kutumia majira ya kiangazi na atauza wachezaji watano wa kikosi chake ili kutunisha zaidi mfuko wake wa usajili.
Kocha huyo wa Spurs anahitaji Mwenyekiti wake Daniel Levy kumuunga mkono kwa kuongeza bajeti ya mishahara na fedha ya usajili ili kuvutia wachezaji wa daraja la juu zaidi.
Pochettino amepewa ruhusa ya kuwauza , Toby Alderweireld, Danny Rose, Mousa Dembele, Fernando Llorente na Moussa Sissoko.
0 comments:
Post a Comment