Tuesday, November 12, 2019

Kocha mkuu msaidizi wa taifa stars siku ya jana alinukuliwa akitoa kauli tata alipo fanya mahojiano na kituo kimoja  cha  radio alipo ulizwa kwa nini Aishi Manura hajaitwa.

''Hatumchagui mtu  kwa kuangalia sura yake , huku hatuji kuposa''

''tuna mchagua mchezaji kwa kuangalia uwezo wake na awe mtanzania' Juma Mgunda

kauli hizo zimezua mtafaruko kwa  baadhi ya wadau wa soka nchini na kumlazimu mwalimu kuja kutolea ufafanuzi kauli yake kupitia ukurasa wa instagram wa TFF.

Tazama mahojiano kupia video hapo chini


0 comments:

Post a Comment