Wakala wa Straika Robert Lewandowski amemuweka mteja wake mezani kwa vilabu vitatu , kwa mujibu wa ParisUnited.
Pini Zahavi, wakala wa Lewandowski anataka mteja wake kuondoka Bayern Munich majira haya ya kiangazi na amemuweka mezani nyota huyo wa kimataifa wa Poland kwa vilabu vya Real Madrid, PSG na Chelsea.
Mchezaji mwenyewe ana ndoto za kucheza Real , lakini PSG na Chelsea nao wameonyesha nia ya kutaka saini ya straika huyo mwenye umri wa miaka 29.
0 comments:
Post a Comment