Thursday, May 24, 2018

Thomas ulimwengu ametua al hilal ya sudani kwa mkhataba wa miaka miwili.

Ulimwengu alisumbuliwa na majeraha msimu uliopita kumfanya akae nje kwa mda mrefu .

Ulimwengu alikuwa anacheza soka la kulipwa nchi sweden lakini msimuhu timu yake mambo yalienda kombo na imeshuka daraja.

Kazi iliyo mpeleka al hilal ni kufunga tuu kuisaidia timu yake kupambana na vigogo wa ligi hiyo. Lakini anahitaji tena kutengeneza nafasi ya kurudi tena ulaya kwa mda mfupi aliobakia nao katika maisha yake soka.

0 comments:

Post a Comment