Wednesday, May 23, 2018

Wayne Rooney anatarajiwa kuachana na klabu yake ya Everton na kujiunga na klabu ya DC United inayoshiriki ligi kuu ya Marekani (MLS). .

Taarifa kutoka Sky Sports zinasema kwamba Wayne Rooney atafanyiwa vipimo vya afya siku ya Alhamisi wiki hii kabla ya kujiunga rasmi na klabu hiyo.

0 comments:

Post a Comment