Kocha mpya wa asernal uni Emery amefanikiwa kukamilisha kuinasa saini ya beki wa pembeni kutoka juventus Stephen leichestern.
Beki huyo ameisaidia juvestus kushinda vikombe 7 vya ligi. Huku akicheza vizuri katika michuano ya uefa champions ligi.
Aidha mchezaji huyo alikuwa huru tayaria alisha maliza mkhataba wake na juventus .
0 comments:
Post a Comment