Imeripotiwa kuwa uongozi wa klabu ya Yanga Sc umeandika barua kunako shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF ya kujitoa kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup sababu ikiwa na muingiliano wa ratiba na kombe la shirikisho barani Afrika.
Aidha uongozi huo umechukizwa na kitendo cha shirikisho hilo kwa kitendo cha kuwapanga Kundi moja na Simba Sc wakidai wamepanga hivyo kwa sababu zao binafsi za kutafuta mapato.
0 comments:
Post a Comment