Perez awatengea dau nono la paundi £90m Rashford na eriksen.
Rashford bado anahitajika na united japo kuwa hana uhakika wa namba ndani ya mashetani hao wekundu.
Eriksen mkhataba wake unaelekea ukingoni na bado haja afikiana na spurs kuhusu mkhataba mpya.
Real madrid bado wanahaha kutafuta mshambuliaji mzuri na kiungo mchezeshaji kuiweka timu katika hali ya ushindani.
0 comments:
Post a Comment