Thursday, July 26, 2018

Mwenye namba yake kashakabidhiwa mbappe amekabidhiwa rasmi jezi namba 7 katika klabu yake ya paris st german.

Namba iliyoachwa na Lucas moura aliyehamia Spurs.Kama ulikuwa na mawazo ya kuwa mbappe atatimkia madrid umebugi.

Mbappe amesha jitengenezea jina ulimwenguni kutokana na kasi yake pamoja na jitihada zake za kiufundi uwanjani.

0 comments:

Post a Comment