Rasmi Klaus Nkinzi Kindoki na Heritier Makambo ni wachezaji wa yangasc baada ya kandarasi ya miaka miwili kila mmoja.
Sasa yanga itakuwa na jumla ya wakongo wa nne kwenye timu hiyo. Uku watatu wakiwa wachezaji pamoja na kocha wao mkuu.
Wote hawa ni raia wa CONGO DRC, Klaus ni golikipa na Makambo ni mshambuliaji.
Za chini chini zinasema kipa wa yanga youth rostand kasha fungashiwa vilago klabuni hapo kumpisha klaus.
0 comments:
Post a Comment