Monday, July 30, 2018

Klabu ya Fc Bayern Munichen imemruhusu kiungo wake Arturo Vidal kujiunga na Inter Milan kwa mkopo.

Na wamepewa ofa ya £40m  kama watahitaji kumsajili hapo baadae. Vidal ameonekana kuto kuwepo kwenye mipango ya kocha mpya kwa sasa.

0 comments:

Post a Comment