Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera tayari amepata kibali cha kufanya kazi nchini na sasa ni rasmi ataanza kukaa kwenye benchi katika mchezo dhidi ya Gor Mahia ya Kenya Jumapili 29 July.
Aidha, Meneja Mkuu wa hiyo, Hafidh Saleh amethibitisha kuwa tayari wamepokea leseni za Deus Kaseke na Matheo Anthony kutoka Caf zikiwaruhusu kucheza mechi dhidi ya Gor Mahia, hivyo watakuwepo kwenye sehemu ya kikosi cha Yanga Sc kitakachokitumia siku hiyo.
0 comments:
Post a Comment