Klabu ya juventus imesibitisha kumnasa staa kinda wa barcelona na hispania chini ya miaka 16 Pablo Moreno.
Pablo Moreno alisajiliwa na barcelona akitokea granada akiwa na miaka kumi na mpaka sasa ameifungia barcelona magoli zaidi ya 200 kwa timu ya watoto katika kipindi cha miaka 6 aliyoitumikia.
Juventus leo imesibitisha hilo na atajiunga na timu ya watoto ya juventus maarufu kwa jina la Primavera team.
0 comments:
Post a Comment