Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amepata dhamana.
Manara alikamatwa na Jeshi la Polisi kufuatia kudaiwa kusambaza jumbe fumbi 'sms' zilihusisha sakata la Mohammed Dewji kutekwa.
Mpaka sasa bado mo dewji hajulikani alipo na zaidi ya watu ishirini wanashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi.
0 comments:
Post a Comment