Sunday, December 30, 2018

Wanasoka wa zamani wa Yanga SC, wakiongozwa na Ramadhan Kampira walimuomba kocha mkuu Mwinyi Zahera wakutane na kujadiliana mambo mbalimbali kuhusu mustakabali wa Yanga.

Rasmi Zahera amewataarifu kuwa sasa wanaweza kupanga siku kwa maana amepata afueni ya ratiba baada ya kumaliza mchezo wa Mbeya City.

Wanasoka hao wamepanga kuiombea msamaha kamati ya usajili inayoongozwa na Hussein Nyika kwa kumdanganya mwalimu kuhusu usajili, pia watamuombea msamaha Kakolanya ili kama kuna uwezekano arudishwe kikosini.

0 comments:

Post a Comment